Genesis 2:22

22 aKisha Bwana Mwenyezi Mungu akamfanya mwanamke kutoka kwenye ule ubavu aliouchukua kutoka kwa huyo mwanaume, akamleta huyo mwanamke kwa huyo mwanaume.

Copyright information for SwhKC